Tazama mambo yalivyokuwa wakati Salim Mtango maarufu kama Messi wa ngumi kutoka Tanga alivyomchapa kwa pointi Bryson Gwayani. Ni kwenye usiku wa #NgomaNzito kutoka Mkwakwani Tanga Atlantic DivisionazamsportsazamtvazamtvmaxazamtvtyoutubeBryson GwayaniBuffalo SabresEastern ConferenceJacob BrysonMkwakwani TangaNgoma NzitoSalim MtangoSalim Mtango Vs Bryson GwayaniTangatanzaniaUsiku Wa VitasaVitasa Night Prev Post Del Gaizo Drops the Gloves January 29, 2023 Next Post Post Game Thread: Boston Bruins at Florida Panthers – 28 Jan 2023 January 29, 2023 20 Comments Kombo Omar 2 years ago Hio haina longo longo Naima s BUGUZA 2 years ago Namuelewa sannah mtango, akiongeza uzito wapunch zake atakuwa Tanzania one Almuhtaram Zamil Khalfan 2 years ago -Mtango ni bondia mzuri,Ushauri:-Aongeze juhudi kwenye mazoeziKwenye hili pambano gas ilikata mapema tofauti na baadhi ya mapambano yake yaliyopita. ADIA SHEKIDEE 2 years ago mtango safi sana wewe ni rais wa tanga tuna kupenda san Amani Manase 2 years ago Tatizo watanga mkiwa vzr sifa zinawaharibu Asmah Eliasa 2 years ago Nice mtango Ali Said 2 years ago Huyu jamaa mtango akipata support ni bondia ataetuleta mikanda mingi. Hussein Bakari 2 years ago Mtoto wa kidigo sijui huyu mana ana balaa stephen matiko 2 years ago Yes Bariki Slaa 2 years ago Huyu mess ni fundi akiendelea hivi atakuwa bondia mkubwa Adolf Mathew 2 years ago Yupo vizuri Sana Messi wa Ngumi ila aongeze Tizi Zaid mfano round ya 5 pumzi zilikatika kbs ina maana mpinzani Wake angeweza kumchapa hata KO km angekuwa imara Zaid Pascal Batholomeo 2 years ago Dogo yuko sawa akaze but I aache kukata mauno Recho Emmanul 2 years ago Totoo bady ,, big up mtangoo pg kazii Recho Emmanul 2 years ago Totoo bady ,, big up mtangoo pg kazii Farida Licheula 2 years ago Mtango ngumi kipajii Shafii Abutwalbu 2 years ago Fights nzur Leonardo deogratias Deogratias 2 years ago Mtango ametishaa🔥🔥🇲🇿 Lameck Jeremiah 2 years ago Mtango wewe ndio nyota ijayo pls fanya boxing km sehem 1 ya maisha yako hautapoteza. Ally Mwachipanga 2 years ago huyo angemkuta yule mtango wa zamani asingemaliza Mwajanja Twahiru 2 years ago Ibu mfiuWrite A CommentYou must be logged in to post a comment.
Naima s BUGUZA 2 years ago Namuelewa sannah mtango, akiongeza uzito wapunch zake atakuwa Tanzania one
Almuhtaram Zamil Khalfan 2 years ago -Mtango ni bondia mzuri,Ushauri:-Aongeze juhudi kwenye mazoeziKwenye hili pambano gas ilikata mapema tofauti na baadhi ya mapambano yake yaliyopita.
Adolf Mathew 2 years ago Yupo vizuri Sana Messi wa Ngumi ila aongeze Tizi Zaid mfano round ya 5 pumzi zilikatika kbs ina maana mpinzani Wake angeweza kumchapa hata KO km angekuwa imara Zaid
Lameck Jeremiah 2 years ago Mtango wewe ndio nyota ijayo pls fanya boxing km sehem 1 ya maisha yako hautapoteza.
20 Comments
Hio haina longo longo
Namuelewa sannah mtango, akiongeza uzito wapunch zake atakuwa Tanzania one
-Mtango ni bondia mzuri,
Ushauri:
-Aongeze juhudi kwenye mazoezi
Kwenye hili pambano gas ilikata mapema tofauti na baadhi ya mapambano yake yaliyopita.
mtango safi sana wewe ni rais wa tanga tuna kupenda san
Tatizo watanga mkiwa vzr sifa zinawaharibu
Nice mtango
Huyu jamaa mtango akipata support ni bondia ataetuleta mikanda mingi.
Mtoto wa kidigo sijui huyu mana ana balaa
Yes
Huyu mess ni fundi akiendelea hivi atakuwa bondia mkubwa
Yupo vizuri Sana Messi wa Ngumi ila aongeze Tizi Zaid mfano round ya 5 pumzi zilikatika kbs ina maana mpinzani Wake angeweza kumchapa hata KO km angekuwa imara Zaid
Dogo yuko sawa akaze but I aache kukata mauno
Totoo bady ,, big up mtangoo pg kazii
Totoo bady ,, big up mtangoo pg kazii
Mtango ngumi kipajii
Fights nzur
Mtango ametishaa🔥🔥🇲🇿
Mtango wewe ndio nyota ijayo pls fanya boxing km sehem 1 ya maisha yako hautapoteza.
huyo angemkuta yule mtango wa zamani asingemaliza
Ibu mfiu