Mastodon
@Buffalo Sabres

NGOMA NZITO | Salim Mtango ‘Messi wa ngumi’ ampiga Bryson Gwayani



Tazama mambo yalivyokuwa wakati Salim Mtango maarufu kama Messi wa ngumi kutoka Tanga alivyomchapa kwa pointi Bryson Gwayani.

Ni kwenye usiku wa #NgomaNzito kutoka Mkwakwani Tanga

20 Comments

  1. -Mtango ni bondia mzuri,
    Ushauri:
    -Aongeze juhudi kwenye mazoezi

    Kwenye hili pambano gas ilikata mapema tofauti na baadhi ya mapambano yake yaliyopita.

  2. Yupo vizuri Sana Messi wa Ngumi ila aongeze Tizi Zaid mfano round ya 5 pumzi zilikatika kbs ina maana mpinzani Wake angeweza kumchapa hata KO km angekuwa imara Zaid

Write A Comment