Mastodon
@Tampa Bay Lightning

UTAPENDA! ONA MBOMBO WA AZAM NA PAUL KATEMA WAKIJIFUNZA KISWAHILI/NICHOLAS WADADA NAYE AINGILIA KATI



Mpenja Tv tunakuletea Mahojiano na wachezaji wa Azam Fc ambao ni Idris Mbombo raia wa Congo na Paul Katema Kutoka Zambia.
.
Wachezaji hawa wakiwa Visiwani Zanzibar siku chache zilizopita, wamenaswa na Camera za Mpenja Tv wakipiga stori za lugha yetu ya Kiswahili.
.
Hakika Utaipenda Video hii.
.
#idrissmbombo #paulkatema #azamfc #mpenjatv

2 Comments

Write A Comment